Habari Producer
Naomba Nikuulize Swali
ivi Unatumia Muda Gani Wakati Ukiwa Unakata Sample Zako Za Singeri Kutoka Kwenye Virtual Dj Kuja Kutumia Kwenye Fl Studio Yako Najuwa Utakuwa Unatumia Muda Mwingi Sana Kwenye Kuwandaa ivyo Vitu Na inawezekana Kuna Muda Unakuwa Unafanya Kazi Kwa Uvivu Sana
Basi Kwa Kulitambua ilo Winner music studio tukaona Ni Vema Tukakuwandalia Loop Za Mizuka Ambayo imeshakatwa Kabasi Na Uzuri Wa izi Loop Unaweza Ukatembea Nazo Kwa Tempo au Speed Yoyote ile Katika Beat Lako Na Bila Kuleta Tofauti Yoyote ile Katika Beat Lako
Sio Tu Kuzungumza Ebu Fanya Kama Unajalibu Kwa Ku Download izi Loop 10 Za Bure Ambazo Nimekuwekea Katika Link Hii👇
10 ZA BUREE
TAZAMA VIDEO HII ILI UJUWE JINSI GANI UNAWEZA KUIFANYIA SETTING MIZUKA YAKO
Tambua Kwamba izi Loop Zinatumika Kwenye Fl studio, Cubase, Studio one, Adobe Audition,. au Program Yoyote ile ambayo ipo Katika Mfumo Wa DAW
Kama Utakuwa Umevutiwa Na Mizuka Hii Ambayo ina Support Katika Fl studio Au DAW Yoyote ile Basi Nimekuwandalia Mizuka 100 Na ipo Kwa Ajili Yako Leo Na inapatikana kwa Galama Nafuu Sana Unaweza Ukanichek WhatsApp Number
+255 745-550-557
Galama yake Ni 6,000/=
Thank
winnermusicstudio75@gmail.com@gmail.com
0 Comments