Mc Banga_Tikisa Kichwa offical Audio

 


Mc Banga Ni Msani Kutoka Morogoro Ni Msani Ambaye Anafanya Powah Sana Kwenye Tasinia Ya Muziki Wa Singeli Ni Msani Mkali Sana Na Kama Unavyoelewa Wasani Kutoka Morogoro Wanavyokuwa Na Balaa Kwenye Game Enjoy Good Music Enjoy Mziki Mzuri Kutoka Morogoro 

Download👇
                                                



Post a Comment

0 Comments