SINGERI PERCUSSION/MIZUKA VOL 2

 Hi 

Leo Ni Siku Nyengine Tena Nimekuletea Loop Za Singeli Ambazo Zinatambulika Kama Mizuka Au Percussion 

Sample izi Zinatumika Kwenye Program Zote Za DAW Mfano Kama Fl studio, Cubase, Studio One. Na kuwendelea Unaweza Ukatazama Video Fupi Hapo Chini Na Kuona izi Samples Ni Kweli Zinatumika Katika izo Sehemu Usika

Sample Za Mizuka Ni Sample Ambazo Ndio Zinauwakilisha Mziki Wa Singeli Kwa Asilimia 95% Hapo Ndio Unatambua Kuwa Sample Za Mizuka Ni Muhimu Sana Katika Uwaandaaji Mzima Wa Beat Za Singeri

Je Nikuulize Swali...?

Katika Nyimbo Za Singeri 30 Ambazo Unasikiliza Kila Siku Ngapi Ambazo Azitumi Sample Za Mizuka Utakuja Kuwona Ni Chache Sana Au Akuna Kabisa 

Leo Tumeachia SINGERI PERCUSSION/MIZUKA VOL 2

Hii Ni Package Ambayo Tayari Samples Zake Zote Zimeshakatwa Na Zimetengenezwa Kwa Umakini Wa Ali Ya Juu Sana Kitu Kikubwa Ambacho Unatakiwa Kukifanya Wewe Ni Kwenda Kuziset Katika Program Yako Usiku 

TAZAMA JINSI YA KUZISETI KWAKE


FL STUDIO

ABLETON LIVE

Kama Utakuwa Na Uwitaji Wa Package Hii Basi Unaweza Ukanicheki WhatsApp number +255 745-550-557 Au Unaweza Utabonyenza Logo Ya WhatsApp Hapo Chini Na Ukaunganishwa Na Mimi Moja Kwa Moja Na Tukazungumza 

☎️ 0745-550-557

Galama Yake Ni Tsh 6,000/= Tu Package imekusanya Mizuka 100 

Kama Unauwitaji Wa Kutengenezewa Video Ya Tatizo Lako Lolote Ambalo Linakusumbua Kwenye Computer Yako Au Program Yako Basi Nipo Hapa Na Natengeneza Video Ya Tatizo Lako Kwa Galama Nafuu Karibu WhatsApp Tuyajenge

☎️ +255 745-550-557

Post a Comment

0 Comments